Achi Auto Parts

  • Home
  • Achi Auto Parts

Achi Auto Parts Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Achi Auto Parts, Automotive repair centre, .

15/05/2026

Hii ndiyo ile ile Nissan Wingroad ya Part 1 😳

Kabla:
❌ Kutu
❌ Rangi imepauka
❌ Mabonde mabonde na michubuko

Sasa:
✔ Smooth finish
✔ Rangi mpya ya Kiwango cha juu
✔ Muonekano fresh

Transformation complete. From rusty to clean.

Matokeo yanaongea yenyewe.

Ni Part ipi ilikuvutia zaidi? 1, 2 au 3?

12/05/2026

Ukiona rangi nzuri…
ujue kuna kazi kubwa imefanyika kabla yake.

Sasa tunaingia hatua ya body refinement:

✔ Putty application
✔ Hardener
✔ Surface leveling/Kusawazisha body

Hii ndiyo inafanya rangi idumu na ionekane perfect

Pole pole, body inarudi kwenye shape yake halisi.

Unadhani final result itakuwaje?

09/05/2026

Dalili zilikuwa wazi:
• Burning oil
• Loss of compression/power
• Smoking engine
• Kelele ndani ya engine

Solution:
👉 Full rebuild + timing chain replacement

Sasa engine iko tofauti kabisa.

Ukiona dalili hizi, usichelewe kutupigia 0777332255 Au WhatsApp 0767200222

08/05/2026

Watu wengi hufanya kosa moja:
kupaka rangi juu ya kutu.

Hiyo haitadumu.

Kwa hii Nissan Wingroad,
tumeanza na foundation sahihi, kuondoa kutu kabisa na kurekebisha body.

Safari ya kuirudisha inaanza hapa.

Unadhani itakuwaje baada ya kumaliza?
Part 1.

07/05/2026

Sio kila shock absorber inafaa gari k**a Toyota Vellfire.

Tulichagua premium option,
tukafanya installation sahihi pamoja na stabilizer bushes.

Result:
✔ Better handling
✔ Maximum comfort

Kwa gari ya level hii, unahitaji parts sahihi.

Tunazo na tunafunga.
Call 0777332255 or WhatsApp +255767200222

06/05/2026

Toyota Alphard ilikuja na:
• Check engine light ON
• AC controls hazifanyi kazi

Baada ya diagnosis:
👉 Tatizo la VVT-i sensor
👉 Fault kwenye AC relay

Tulibadilisha zote na kufanya testing.

Matokeo?
✔ Check engine imezimika
✔ Engine iko smooth
✔ AC controls zimerudi kawaida

Gari yako imewahi kuwa na check engine na ilikuwa sababu gani?

05/05/2026

Part 2 ya revival series

Baada ya kuiamsha gari, tuligundua kazi halisi ndiyo inaanza.

Engine ilikuwa na rattling na uchafu mwingi.
Tukaipiga chini, tukaisafisha, tukarekebisha valve seals na timing chain.

Suspension pia haikuwa sawa:
✔ Rack ends mpya (OEM)
✔ Stabilizer links mpya
✔ Bushes zote muhimu zimebadilishwa

Sasa gari sio tu inaendeshwa Ila
inaendeshwa vizuri
WhatsApp 0767200222 au piga 0777332255

04/05/2026

Comfort ya ndani ya gari inaanza na tint.

Subaru hii imepata tint mpya:
✔ Privacy
✔ Protection dhidi ya jua
✔ Muonekano premium

Safari sasa ni tofauti.

Tunafanya installation kamili.

03/05/2026

Hii filter imepitia mengi 😂

Imejaa uchafu mpaka inaonekana k**a chocolate dessert.

Lakini nyuma ya huu utani:
👉 Engine yako inateseka

Badilisha oil filter mapema. Usisubiri uone hii kwenye gari yako

02/05/2026

Check engine inaweza kukupa stress bila kujua chanzo.

Owner wa hii Nissan Hardbody alikuwa na wasiwasi. Akiwasha gari inaji-race yenyewe

Diagnosis ilionyesha:
👉 Fault kwenye crankshaft sensor wiring

Tulirekebisha wiring na si kubadilisha parts bila sababu. Taa ikazimika.

Sasa gari Iko Sawa.

K**a Una check engine?
WhatsApp 0767200222 Au tupigie 0777332255

01/05/2026

Tulipokea simu kutoka kwa mteja:
Gari yake ilikuwa imekaa karibu miaka 3 bila kutumika.

Nissan Primera tulienda kuichukua (towing) na kuanza kazi.

Tulipokagua tukakuta:
• Starter imeharibika → ikabadilishwa
• Fuel pump imekuwa rusty → ikabadilishwa
• Brake master cylinder imeharibika → ikabadilishwa + brake fluid mpya

Baada ya kazi na testing:
✔ Gari imefufuka
✔ Engine inawaka vizuri
✔ Mfumo wa breki uko sawa

Hii sio repair ya kawaida, ni urejeshaji kamili.

Una gari lililokaa muda mrefu?
Tunaweza kukusaidia kulirudisha barabarani.
WhatsApp 0767200222 au Piga 0777332255

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Achi Auto Parts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Autos & Automotive Service?

Share