Tanga Mobile Mechanic Service

Tanga Mobile Mechanic Service good &quite services of your vehicles/car

14/07/2025
Kitaalam unaijua
17/02/2025

Kitaalam unaijua

31/12/2023

Nawatakieni makatibisho mema ya 2024

09/07/2023

Jamani muwazima

06/04/2023

Jamani mupo tumewasusa sana lakini tumerudi tena

20/01/2022

Kuna zawadi ya vocha ukijibu andika na namba yako ya simu (kioo kikubwa cha mbele cha gari kitaalam kinaitwaje?)ndani ya masaa matatu kuanzi swali kuulizwa wakwanza kujibu jibu sahihi ndio atakaye pata zawadi ya vocha

10/01/2022

Mambo yakuzingatia katika 2022 (1)uaminifu 100% (2)

Ofa ya mwisho wa mwaka kampuni yetu imetoa ofa ya kijana mmoja asiye zidi miaka 18 kujifunza bure kwa miaka 3 ufundi wa ...
27/11/2021

Ofa ya mwisho wa mwaka kampuni yetu imetoa ofa ya kijana mmoja asiye zidi miaka 18 kujifunza bure kwa miaka 3 ufundi wa magari mwisho wa ofa ni tarehe 20/12/2021 ofa hii mzazi utagharamikia usafiri na chakula kampuni itagharamikia ada tu.

Address

Mkathbeth @gmail. Com
Tanga
77

Telephone

+255 677 614 077

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanga Mobile Mechanic Service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share