16/12/2019
TOYOTA CROWN GRS 180/ GRS 200
Toyota crown ilianza kutengezwa mapema mwaka 1955 mpk leo kuna generation ya 15, ambayo ni GRS 220(ambayo mwaka 2018 mpk Leo hii)
ILA crown nyingi sana tunazo ziona ni Generation ya 11 na 12, ambayo ni mwaka 1999 mpk 2007 na 2003 mpk 2008 ambazo zote ni GRS 180 SERIES,
NDIYO MAANA , ukinunua gari ambayo umeagiza watakuandikia GRS 180 au 181, 182 ila zote zipo kwenye GRS 180. ila ieleweke kwamba 181,182,193 ni crown zenye engine kubwa kuanziaCC 2990,3000 au 3500
Ila Generation GRS 200 ni gari kuanzia 2008 ~2010, ila style inaweza kuwa tofauti kati ya 2008,2009 au 2010, kwenye aina ya bampa,show au taa .
Turudi kwenye maada, GARI hizi CROWN zipo aina tatu,
1.CROWN ATHLETE
2.CROWN ROYAL
3.CROWN MAJESTA
Gari hizi zote zina fungwa injini ya familia ya GR zinazotengezwa Toyota Motor Manufacturing Kentucky.ambazo ni
2GR 3.5
3GR 3.0
4GR 2.5
5GR 2.5
Kwenye mfumo wa gearbox yaan transmission gari hizi mbili zinafungwa either yenye
5 gear 4~D
6 gear NS ambazo (auto na manual) japokuwa mfumo huu ni kwa gari kuanzia 2007/2007
TOYOTA CROWN ATHLETE nyingi hufungwa 4GR , rejea hapo juu utaona ina cc ngapi, na nyingi ni GRS 180, rejea juu hapo utaona .
Utofauti wa ATHLETE NA ROYAL ni ukubwa wa injini, aina ya body, body ya ATHLETE ni kubwa kidogo sana, kwenye
1.show ya mbele
2 bampa la mbele
3.buti la nyuma
4.entior yaan ndani
5.body kity ya chini
6.taa za mbele na nyuma
TOYOTA ATHLETE zinashindanishwa na FUGA ambazo ni nissan ,gari zote hizi kule kwao Japan
zilikuwa gari za mamlaka , either kipolisi au executive , hasa zenye RANGI nyeusi ni gari zenye heshima na kuogopwa zikiendesha huko maeneo ya uraiani, alinukuliwa Dealer mmmoja huko YoKOSHIMA Japan.
Matumizi ya gari kwa mafuta ni chini sana maana zina mfumo wa DOHC 4 valves per cylinder, ambazo humwaga mafuta ndani ,yenye mfumo wa D4
pia zina Dual VVTI , 2 VVTI kila cylinder head.
hufanya engine kuwa nyepesi zaidi
Japokuwa baadhi ya nchi hufunga supercharger kity kwenye gari hizi ili kuzifanya kuwa gari bora kabisa na kuacha kununua subaru na magar i mengine ya mambio mbio.
supercharger kit hununuliwa ARMA Company.
ndio hutengeneza superchager kit kuongeza horsepower kwenye injini hizi za 4GR FSE
kwa maoni ya watumiaji wengi kuachana gharama zisizo na tija kuendena na kubana matumizi na kuunga mkono Rais wetu JOhn Pombe Magufuri
kwamba nunua tu gari yenye power zenye 3GR FSE AU MAJESTA 4.3 YENYE INJINI V8 kuliko kuagiza na kufunga supercharger
Oil gani unatumia gari hizi?
1.0W30
2.5W30
3.5W40
na unaweka lita sita6.6 kwa kilometa 5000 mpk 10000
WRITTEN BY GEOFREY MADAFA