kg_car_sound_system

kg_car_sound_system Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from kg_car_sound_system, Mwenge.

Zimebaki mbilii tuuu karibu      kwa bei poaa kabisaa na uipe gari yako harufu nzuri kwa mwaka mzima guarantee kabisaa. ...
25/11/2019

Zimebaki mbilii tuuu karibu kwa bei poaa kabisaa na uipe gari yako harufu nzuri kwa mwaka mzima guarantee kabisaa.
Call/WhatsApp now 0767930361🚘🚘🚘πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Je unahitaji kufanya service ya gari yako?? Je unahitaji huduma iliyo bora zaidi na kwa gharama nafuu zaidi?? Basi k**a ...
14/11/2019

Je unahitaji kufanya service ya gari yako??

Je unahitaji huduma iliyo bora zaidi na kwa gharama nafuu zaidi??

Basi k**a jibu lako ni NDIO!!






Tumeanza kutoa huduma ya Car service kwa magari yote, kwani tuna oil za kisasa kabisa k**a vile Castro GTX, ViScO 2000,nk.. Hii yote ni kukupa wewe mteja kilicho bora kabisa..

NINI CHA KUFANYA..
Nunua oil pamoja na oil filter kwetu na kisha tutakuhudumia bureeeeeeeeeee kabisa huku ukipata huduma zingine kutoka kwetu k**a vile maji/vinywaji nk.

Tembelea sasa ofisi zetu hapa Mwenge opposite na Suma JKT/kanisa la Efatha au

Wasiliana nasi kwa simu namba 0767930361(Call/WhatsApp)

Nyote mnakaribishwa. πŸ™πŸ™πŸ™πŸš˜πŸš˜ @ Mwenge, Dar es Salaam

Hii utaipataa kwa bei ya offer ya elfu kumi na tano tuu (15000) na kuipa gari yako manukato mazuri muda wote. Fika sasaa...
14/11/2019

Hii utaipataa kwa bei ya offer ya elfu kumi na tano tuu (15000) na kuipa gari yako manukato mazuri muda wote.

Fika sasaa ofisi zetu zilizopo Mwenge Opposite na Suma JKT/kanisa la efatha ili kupata huduma zilizo bora kabisa






Ndo kila kituu....

Call/WhatsApp 0767930361.. @ Mwenge, Dar es Salaam

Hizi hapa Key Holder za gari yako ni imara na madhubuti kabisa.. Unaweza pia kuitumia k**a opener kwa wale wazee wa 🍺🍻🍾 ...
14/11/2019

Hizi hapa Key Holder za gari yako ni imara na madhubuti kabisa.. Unaweza pia kuitumia k**a opener kwa wale wazee wa 🍺🍻🍾 hapa kazi imerahisishwa zaidi kabisa..

Utazipata kwetu kwa 15000Tshs. Tuuu
Fika sasa ofisini kwetu Mwenge Opposite na Suma JKT/kanisa la efatha uzipate kwa bei poa kabisa..

Na kwa Mahitaji mengine k**a vile seat cover, car alarm system, car sound system, car tinted, car service pia...

Kindly tufollow hapaa kwa vitu vzuri zaidi





πŸ“ž0767930361(Call/WhatsApp)

Your warmly welcome. @ Mwenge, Dar es Salaam

Hayaa ule mzigo wetu wa kuipa gari yako manukato ya levels za juu na uhakika kwa mwaka mzima na kwa bei rahisi ndio huu....
14/11/2019

Hayaa ule mzigo wetu wa kuipa gari yako manukato ya levels za juu na uhakika kwa mwaka mzima na kwa bei rahisi ndio huu..
Jipatie INITIAL Airfresher kutoka kwetu
kwa bei poaa kabisa tena ya Offer kabisa kwa TSH 95,000Tsh.
Zipo chachee sanaa wahii haraka.. Delivery ipo mahali kokote ulipo itakufikia tuu..
πŸ“ž 0767930361 (Call/WhatsApp)
Karibuni sanaa. @ Mwenge, Dar es Salaam

Kwa Muonekano mzuri wa gari lako,  ni wataalam waliobobea katika uuzaji wa ;√Radio za magari  na subwoofer za kisasa kab...
13/11/2019

Kwa Muonekano mzuri wa gari lako, ni wataalam waliobobea katika uuzaji wa ;
√Radio za magari na subwoofer za kisasa kabisa kwa bei nafuu,
√Wauzaji na wafungaji wa Alarm za kijanjaa sasa kabisa kwa bei nafuu,
√Seat cover za kisasa kabisa,
√Carpets za magari,
√Taa za LED kwa bei poa kabisa
√Car Tinted na vingine vingi..
Tupo Mwenge opposite na Suma Jkt/kanisa la Efatha
Call/WhatsApp no 0767930361 au 0655122985.
Karibuni..

OFFER OFFER OFFER (KUELEKEA MSIMU HUU WA SIKUKUU)

Ipe gari yako ulinzi kamili huku ukipata funguo mbili za spare kwa bei nafuu kabisa ya 145000Tshs.tuu.Unasubiri nini sasa
Njoo kwetu
upate kilicho bora kabisaaπŸ’₯πŸ’₯🚘🚘 @ Mwenge, Dar es Salaam

Kwa Muonekano mzuri wa gari lako,  ni wataalam waliobobea katika uuzaji wa ;√Radio za magari  na subwoofer za kisasa kab...
13/11/2019

Kwa Muonekano mzuri wa gari lako, ni wataalam waliobobea katika uuzaji wa ;
√Radio za magari na subwoofer za kisasa kabisa kwa bei nafuu,
√Wauzaji na wafungaji wa Alarm za kijanjaa sasa kabisa kwa bei nafuu,
√Seat cover za kisasa kabisa,
√Carpets za magari,
√Taa za LED kwa bei poa kabisa
√Car Tinted na vingine vingi..
Tupo Mwenge opposite na Suma Jkt/kanisa la Efatha
Call/WhatsApp no 0767930361 au 0655122985.
Karibuni.

OFFER OFFER OFFER (MSIMU WA SIKUKUU)

Hii package utaipataa kwa TSH 450,000 badala ya 550,000Tshs.
Hii si ya kukosa kabisaa πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ K**a upepo wa kisulisuli uwahi offer hii kabambe..

Karibuni sana

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯🚘🚘🚘 @ Mwenge, Dar es Salaam

Dear Malika... Happy 1st Birthday dear daughter πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯😍😍😍😍 From us   Cc      @ Mwenge, Dar es Salaam
30/10/2019

Dear Malika... Happy 1st Birthday dear daughter πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯😍😍😍😍
From us
Cc
@ Mwenge, Dar es Salaam

Ipe gari yako ulinzi kwa muda woote kwa kupata car alarm system za kisasa kabisa na kwa bei poaa kabisaa... Wapi...  Loc...
12/10/2019

Ipe gari yako ulinzi kwa muda woote kwa kupata car alarm system za kisasa kabisa na kwa bei poaa kabisaa...
Wapi...
Location:Mwenge Opp na Suma Jkt/kanisa la Efatha Karibu na kituo cha daladala.
Contact:Call/WhatsApp 0767930361 au 0655122985.
Karibuni sanaa...
Kwetu mteja ni zaidi ya Mfalme... @ Mwenge, Dar es Salaam

Kwa 250,000 tuuu unapata full seat cover hizi na kuipa gari yako muonekano wa kisasa kabisa na uweze kuitunza gari yako ...
09/10/2019

Kwa 250,000 tuuu unapata full seat cover hizi na kuipa gari yako muonekano wa kisasa kabisa na uweze kuitunza gari yako sasaa.. Tupigie sasa ili tuweze kukuhudumia
Call?/WhatsApp no 0767930361 au 0655122985.
Tupo Mwenge opposite na Suma Jkt/kanisa la Efatha.. Karibu kabisa na kituo cha daladala cha Mwenge..
Karibuni sana.. Kwetu mteja ni zaidi ya Mteja.. @ Mwenge Dar es salaam

Karibu ulipe gari lako muonekano ulio bora kabisa kwa kupata Taa za kisasa na zilizo bora kabisaa...  tupo kwa ajili yak...
09/10/2019

Karibu ulipe gari lako muonekano ulio bora kabisa kwa kupata Taa za kisasa na zilizo bora kabisaa... tupo kwa ajili yako.. Tupo Mwenge opposite na Suma Jkt/kanisa la Efatha karibia kabisa na kituo cha daladala Mwenge...
Kwetu mteja ni zaidi ya Mfalme..
Your warmly en mostly welcome..
Call/WhatsApp no 0767930361 au 0655122985. @ Mwenge, Dar es Salaam

Bado hujachelewa ipe gari yako muonekano bombaa wa kisasa kabisa.. Njoo upate huduma bora kabisa na za kiwango cha juu k...
07/10/2019

Bado hujachelewa ipe gari yako muonekano bombaa wa kisasa kabisa.. Njoo upate huduma bora kabisa na za kiwango cha juu kabisa kutoka kwetu
Call/WhatsApp no 0767930361 au 0655122985. @ Mwenge, Dar es Salaam

Address

Mwenge

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kg_car_sound_system posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share