Kevla Motors Mwanza

Kevla Motors Mwanza We don’t just sell tricycles — we move Mwanza forward. Built tough. Engineered for business.

Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja! Kwetu Kevla Motors, kila mteja ni sehemu muhimu ya safari yetu. Tunawashukuru kwa kut...
06/10/2026

Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja!

Kwetu Kevla Motors, kila mteja ni sehemu muhimu ya safari yetu. Tunawashukuru kwa kutuamini, kutuchagua na kuendelea kuwa nasi. 🙌

Tupo hapa kukusikiliza, kukuhudumia na kuhakikisha unapata huduma bora kila unapohitaji.

Asante kwa kuwa sehemu ya familia ya Kevla Motors! 💚

Haijalishi unapiga delivery, unabeba abiria au unaendesha kwa matumizi binafsi, Kevla XP-125 iko tayari kukupa nguvu una...
23/09/2026

Haijalishi unapiga delivery, unabeba abiria au unaendesha kwa matumizi binafsi, Kevla XP-125 iko tayari kukupa nguvu unayohitaji kila siku.

Na uzuri ni kwamba unaweza kuipata kwa mkopo, yani unalipia nusu ya bei, unaondoka na pikipiki, kiasi kinachobaki unalipa taratibu.

Simuu ziiite Boss:

📲 +255 758 399 613 / +255 740 399 613
📍 Tunapatikana: Mtaa wa U-Turn, Karibu na Bohari ya Dawa, Mwanza.

MILIKI PIKIPIKI  YAKO KWA MKOPO.Pata mkopo wa piki piki aina ya Kevla XP-125 Kwa kianzio cha Asilimia 50 Tu.✅ Mkopo ni N...
11/09/2026

MILIKI PIKIPIKI YAKO KWA MKOPO.
Pata mkopo wa piki piki aina ya Kevla XP-125 Kwa kianzio cha Asilimia 50 Tu.

✅ Mkopo ni Nafuu
✅ Marejesho Kidogo Kidogo
✅ Bima Bure

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi:
📲 +255 758 399 613 / +255 740 399 613
📍 Mtaa wa U-Turn, Karibu na Bohari ya Dawa, Mwanza.

Mawlid un-Nabi!
25/08/2026

Mawlid un-Nabi!

TVS100 Clutch Gear Complete Ipo Dukani! ✅ Ubora wa hali ya juu✅ Inafaa kwa TVS100✅ Inadumu na kufanya kazi kwa ufanisi✅ ...
20/08/2026

TVS100 Clutch Gear Complete Ipo Dukani!

✅ Ubora wa hali ya juu
✅ Inafaa kwa TVS100
✅ Inadumu na kufanya kazi kwa ufanisi
✅ Bei rafiki

Fika dukani leo upate spare parts original
📲 +255 758 399 613 / +255 740 399 613
📍 Mtaa wa U-Turn, Karibu na Bohari ya Dawa, Mwanza.

Iwe unahitaji kubadilisha brake, chain set, clutch, filters au vipuri vingine original kwaajili ya TVS100 utavipata duka...
13/08/2026

Iwe unahitaji kubadilisha brake, chain set, clutch, filters au vipuri vingine original kwa
ajili ya TVS100 utavipata dukani kwetu.

Tunauza kwa bei ya jumla na reja reja.

📲 +255 758 399 613 / +255 740 399 613
📍 Tunapatikana: Mtaa wa U-Turn, Karibu na Bohari ya
Dawa, Mwanza.

Kevla KV250-T5, muundo mpya, nguvu mara mbiliSifa Muhimu⚙️ Jingzhan 250cc • Single Cylinder • Water-Cooled • Four-Stroke...
12/08/2026

Kevla KV250-T5, muundo mpya, nguvu mara mbili

Sifa Muhimu

⚙️ Jingzhan 250cc • Single Cylinder • Water-Cooled • Four-Stroke Engine
💪 Max Power: 11.5 kW @ 7000 rpm
🔥 Max Torque: 19.5 N.m @ 5000 rpm
🛑 Drum Brake / Oil Brake
🏃 Max Speed: 60 km/h
🛞 Tyre Size: 500-12

Kwa nguvu kubwa zaidi, mfumo wa Water Cooling na uwezo wa kubeba mizigo ya biashara, KV250-T5 ni chaguo linalofaa kwa usafirishaji wa bidhaa, vifaa vya ujenzi, mazao na shughuli nyingine nyingi.

Karibu showroom yetu ujionee mwenyewe.

📲 +255 758 399 613 / +255 740 399 613
📍 Tunapatikana: Mtaa wa U-Turn, Karibu na Bohari ya Dawa, Mwanza.

Muonekano wa kishua, Nguvu ya radi.Kevla KV162-H imeundwa kwa wale wanaotaka nguvu ya ziada bila kuacha matumizi ya kila...
11/08/2026

Muonekano wa kishua, Nguvu ya radi.
Kevla KV162-H imeundwa kwa wale wanaotaka nguvu ya ziada bila kuacha matumizi ya kila siku.

ifa Muhimu

⚙️ Single Cylinder • 4-Stroke • Air-Cooled Engine
💪 Max Power: 9.4 kW @ 8000 rpm
🔥 Max Torque: 11.5 N.m @ 6500 rpm
🛑 Front Disc Brake • Rear Drum Brake
📏 Dimensions: 1967 × 782 × 1082 mm
📐 Wheelbase: 1296 mm

K**a unataka pikipiki inayochanganya nguvu, uimara na muonekano wa kisasa, Kevla KV162-H ni chaguo bora zaidi.

📲 +255 758 399 613 / +255 740 399 613
📍 Tunapatikana: Mtaa wa U-Turn, Karibu na Bohari ya Dawa, Mwanza.

Iwe unahitaji kubadilisha brake,chain set, clutch, filters au vipuri vingine original kwaajili ya TVS HLX150 utavipata d...
10/08/2026

Iwe unahitaji kubadilisha brake,chain set, clutch, filters au vipuri vingine original kwa
ajili ya TVS HLX150 utavipata dukani kwetu.

Tunauza kwa bei ya jumla na reja reja.

📲 +255 758 399 613 / +255 740 399 613
📍 Tunapatikana: Mtaa wa U-Turn, Karibu na Bohari ya
Dawa, Mwanza.


Tunawatakia maadhimisho mema ya Nane Nane na msimu wenye mavuno mengi zaidi.Heri ya Nane Nane kwa Wakulima na Wafanyabia...
08/08/2026

Tunawatakia maadhimisho mema ya Nane Nane na msimu wenye mavuno mengi zaidi.

Heri ya Nane Nane kwa Wakulima na Wafanyabiashara wote wa Tanzania. 🇹🇿

📲 +255 758 399 613 / +255 740 399 613
📍 Tunapatikana: Mtaa wa U-Turn, Karibu na Bohari ya Dawa, Mwanza.

Address

MSD Road
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kevla Motors Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share