Hrd Radiator Company Ltd

Hrd Radiator Company Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hrd Radiator Company Ltd, Automotive, aircraft & boat, Hrd Radiator Company, Mwanza.

Hrd radiator Company hii ni kampuni ya Rejeta inayo jihusisha kwa uundaji na utengenezaji wa rejeta za aina zote, tunatengeneza rejeta za magar aina zote, mitambo aina zote, mfano marejeta mashine za migodini na viwandani, karibuni sana tukuhudumie.

Maranyingi tumekuwa tukinunua vitu vya gharama na vyenye ubora mzuri,ila tunashundwa kuvihudumia,sasa kwakuliona HRD RAD...
28/12/2022

Maranyingi tumekuwa tukinunua vitu vya gharama na vyenye ubora mzuri,ila tunashundwa kuvihudumia,sasa kwakuliona HRD RADIATOR COMPANY LIMITED Tumeona kunanhaja ya kusaidia wewe mmiliki wa Generators tumeamua kufanya service ya Generator kwa ujumla kuanzia engine pamoj na rejeta yenyewe.

Lakini pia tunaouwezo wa
🎈kutengeneza rejeta mpya
🎈kubadili cover kutoka plastic kwenda Shaba au aluminium
🎈Tunafanya service ya intercooler na oilcooler
Bila kusahau tunaongeza njia kwenye rejeta aina zote na karibu ufanye kazi na sisi. Fanya miadi leo! Tunajua wakati wako ni muhimu lakini kujijali ni muhimu! Tupigie simu leo ​​​​na utuweke kwenye ratiba yako.

☎️+255 716 995 561
☎️+255 744 451 271

Lakini pia Tunapatikana kwenye social networkszote k**a ifuatavyo:~

Facebook
Twitter
YouTube
LinkedIn
Website www.hrdradiator.co.tz

Yote kwa jina hilohilo HRD RADIATOR
COMPANY

Heri ya sikukuu ya Krismas na MWAKA mpya.
26/12/2022

Heri ya sikukuu ya Krismas na MWAKA mpya.

28/11/2022
Habari njema kutoka HRD RADIATOR COMPANY, tunaouwezo wa 🎈kutengeneza rejeta mpya🎈kubadili cover kutoka plastic kwenda Sh...
15/11/2022

Habari njema kutoka HRD RADIATOR COMPANY, tunaouwezo wa
🎈kutengeneza rejeta mpya
🎈kubadili cover kutoka plastic kwenda Shaba au aluminium
🎈Tunafanya service ya intercooler na oilcooler
Bila kusahau tunaongeza njia kwenye rejeta aina zote na karibu ufanye kazi na sisi. Fanya miadi leo! Tunajua wakati wako ni muhimu lakini kujijali ni muhimu! Tupigie simu leo ​​​​na utuweke kwenye ratiba yako.

☎️+255 716 995 561
☎️+255 744 451 271

Lakini pia Tunapatikana kwenye social networkszote k**a ifuatavyo:~

Facebook
Twitter
YouTube
LinkedIn
Website www.hrdradiator.co.tz

Yote kwa jina hilohilo HRD RADIATOR
COMPANY

Workshop team wanakukaribisha.....
14/11/2022

Workshop team wanakukaribisha.....

Tuwatakie kheri watoto wetu wa kidato cha nne katika mitihani yao ya mwisho.
14/11/2022

Tuwatakie kheri watoto wetu wa kidato cha nne katika mitihani yao ya mwisho.

24/10/2022

📍📍TUNAPATIKANA UBUNGO MAWASILIANO MKABALA NA NJIAPANDA YA GETI LA CHUO KIKUU, KWA WAKAZI WA LAKE ZONE TUNAPATIKANA MKUYUNI SOKONI MWANZA.

🪟Ofisi zipo wazi kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 2:30 Asubuhi mpaka saa 11:00 Jioni, kwa siku za Jumamosi tupo wazi kuanzia saa 2:30 Asubuhi mpaka saa 7:00 Mchana.

🔌Lakini pia Tunapatikana kwenye social networkszote k**a ifuatavyo:~

Facebook
Twitter
YouTube
LinkedIn
Website

Yote kwa jina hilohilo HRD RADIATOR
COMPANY

Tunawatakia Jumaa njema wateja wetu wot..
21/10/2022

Tunawatakia Jumaa njema wateja wetu wot..

Address

Hrd Radiator Company
Mwanza
33110

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hrd Radiator Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hrd Radiator Company Ltd:

Share