FABA CAR Accessories

FABA CAR Accessories FABA CAR ACCESSORIES IS THE LIMITED BUSSINESS WHICH DEAL WITH A DECORATIONS MATERIAL OF VEHICLES AND MOTORCYCLE. BUT MAINLY WE DEAL WITH CAR ACCESSORIES

22/03/2023

Karibu karibuu mgeni wetu Allah atupe nguvu na afya ilituweze kukamilisha nguzo hii

10/01/2023

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

24/10/2022
25/08/2022

Hapo zamani za kalee kulikuwa na vijana 3 Faba na Farouq kutoka vuga ha ha ha miaka 7 ilopita hii tukiwa offcn kwangu na Kijana wng wa mtaani Mr sema tena tulikuwa tunapigastory na kubadilishana mawazo na kupanga mikakati ya kufata mizigo.

15/08/2022

Baada ya kumaliza kufunga Android Radio ya Alphard mwenye gari ni Yanga tukatest mitambo kwa nyimbo ya Yanga Ha ha ha Badru 05 kijana wangu Magomeni mapipa 😁😁😁

25/07/2022

Flavor pendwa Peach ni nyokoo halafu mzigo hauna janja janja kitu O.G epuka kuuziwa IKEDA FAKE

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FABA CAR Accessories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category