Bijombo tyres

Bijombo tyres Matairi๐Ÿ›ž,Batteries๐Ÿ”‹na Rim. Bei ni kwa Jumla na Rejareja๐Ÿ’ธ
Delivery Tunafanya nchi nzima๐Ÿ›ž๐Ÿšš๐Ÿ”ฅ
Tunapatikana ๐ŸŒMbezi beach,Africana Near Kunduchi mall.

Mawasiliano๐Ÿ“ž0624735155 /Whatsapp- #0695509841

Tairi ni viatu vya gari lako. Vaa vya hadhi!๐Ÿ›ž๐Ÿ›ž๐Ÿ’ฏ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ˜ŽTriangle Tires na Warrior Tire za Low Profile zinabadilisha sura ya ga...
13/10/2026

Tairi ni viatu vya gari lako. Vaa vya hadhi!๐Ÿ›ž๐Ÿ›ž๐Ÿ’ฏ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ˜Ž

Triangle Tires na Warrior Tire za Low Profile zinabadilisha sura ya gari lako mara moja: kifahari, imara, na zinavutia kila jicho. ๐Ÿ”ฅ
Kwanini ufunge tairi lenye muonekano mbaya wakati tuna tairi lenye muonekano wa kibosi ukifunga kwenye gari lako๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tunapatikana ๐ŸŒMbezi Beach-Africana Na Mwenge ITV- Dar .
Tupigie leo ๐Ÿ“ž0624 735 155
Whatsapp @0695509841
Bijombo_tyres Usalama wa Safari zako Unaanzia hapa ๐Ÿ›žโœ…๏ธ

10/10/2026

๐Ÿ›ž"Brand bora, thamani halisi. Usikubali kupoteza pesa kwa bidhaa hafifu. Chagua ubora, chagua uhakika.โœ…๏ธ๐Ÿ›ž ๐Ÿ’ฏ"
Tuna brand zenye quality k**a,
-Ttriangle๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅ
-Warrior ๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅ
-Annaite ๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅ
-Wosen ๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅ
-Roadwing ๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅ
Kwa bei nafuu kabsa ukilinganisha na ubora wake๐Ÿ’ฏ
Tunapatikana ๐ŸŒ Mbezi Beach-Africana na Mwenge ITV-Dar
Tupigie leo ๐Ÿ“ž0624 735 155
Whatsapp @0695509841

09/10/2026

CAMEL NA BUFFALO BATTERIES UBORA WA KWELII๐Ÿ”‹๐Ÿ”ฅ
Gari lako linastahili betri imara! Camel na Buffalo zinakupa nguvu ya kuaminika kila siku, iwe ni gari dogo au gari kubwa.
โœ… Ubora wa hali ya juu
โœ… Zinawaka haraka, hata asubuhi ya baridi
โœ… Zinadumu kwa muda mrefu
โœ… Zipo kuanzia N50 hadi N200, chagua inayoendana na gari lako
Usikubali gari lako likusimamishe njiani. Chagua Camel au Buffalo leo!
Tunapatikana๐ŸŒ: Mbezi Beach, Africana na Mwenge, ITV-Dar
๐Ÿ“ž Piga au WhatsApp: 0624 735 155
Karibu Bijombo Tyres, tukuhudumie sasa! ๐Ÿš—๐Ÿ’ช

You can also follow on Instagram to see more.
09/10/2026

You can also follow on Instagram to see more.

08/10/2026

๐Ÿ›ž Matairi bora kwa bei nafuu! Magari madogo, malori na mashambani tunayo stock ipo ya kutosha
Tairi tulizonazo;
โœ…๏ธTairi za Gari ndogo
โœ…๏ธTairi za Commercial vehicle k**a coaster
โœ…๏ธTairi za Fuso,Canter,Roli
โœ…๏ธTairi za Magari ya mizigo mizito k**a Trela,bus
โœ…๏ธTairi za Forklift
โœ…๏ธTairibza Machine za ujenzi k**a bulldozer,Grader,LoadersRollers,dump n.k
๐Ÿ“ž Piga: 0624 735 155
Godown zetu zipo๐ŸŒ Mbezi Beach Africana, karibu na Kunduchi Mall na Mwenge ITV-Dar

Unajiuliza ni wapi utapata Mixer,Highway na Diff za size 315/80R22.5 Bijombo tyres tunazo kashata zote kwa ajili ya Maga...
08/10/2026

Unajiuliza ni wapi utapata Mixer,Highway na Diff za size 315/80R22.5
Bijombo tyres tunazo kashata zote kwa ajili ya Magari ya Mizigo na Fuso za Tipper
Tupigie simu sasa kuagiza ๐Ÿ“ž0624 735 155
Whatsapp 0695 509 841
Tunapatikana ๐ŸŒ Mbezi Beach-Africana near Kunduchi mall

๐™‡๐™ค๐™ง๐™ž ๐™ก๐™–๐™ ๐™ค ๐™ก๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ฉ๐™ช๐™ข๐™ž๐™– ๐™ข๐™–๐™›๐™ช๐™ฉ๐™– ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™ ๐™ช๐™ก๐™ž๐™ ๐™ค ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ซ๐™ฎ๐™ค๐™จ๐™ฉ๐™–๐™๐™ž๐™ก๐™ž? ๐Ÿค”โ›ฝJe, umechoka kubadilisha matairi kila mara barabarani? ๐Ÿš›๐Ÿ’ธKutana...
07/10/2026

๐™‡๐™ค๐™ง๐™ž ๐™ก๐™–๐™ ๐™ค ๐™ก๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ฉ๐™ช๐™ข๐™ž๐™– ๐™ข๐™–๐™›๐™ช๐™ฉ๐™– ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™ ๐™ช๐™ก๐™ž๐™ ๐™ค ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ซ๐™ฎ๐™ค๐™จ๐™ฉ๐™–๐™๐™ž๐™ก๐™ž? ๐Ÿค”โ›ฝ
Je, umechoka kubadilisha matairi kila mara barabarani? ๐Ÿš›๐Ÿ’ธ
Kutana na TRIANGLE TRS02๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ“ Size: 315/80R22.5
๐Ÿ’ช 18PR | Load Index 154/151 M
โœ… Imetengenezwa kwa malori yanayobeba mzigo mzito
โœ… Inashika vizuri barabara hata mvua ikinyesha ๐ŸŒง๏ธ
โœ… Matumizi bora ya mafuta, tairi inadumu muda mrefu
โœ… Kelele ndogo (71dB), safari tulivu
Swali la leo kwako ๐Ÿ‘‡
Unatumia tairi gani kwenye lori lako sasa hivi, na linakufikisha umbali gani? Tuambie kwenye comment, tunataka kusikia kutoka kwako! ๐Ÿ’ฌ
๐Ÿ“ฆ Godown yetu imejaa, kila size ipo!
Usihangaike kutafuta. Tuna size zote za malori na magari makubwa.
๐Ÿ“ฒ Nicheki WhatsApp sasa kwa bei na size nyingine:
๐Ÿ‘‰ @0695509841
Tunapatikana ๐ŸŒ Mbezi Beach-Africana, Dar es Salaam

05/10/2026

Tunazo brand k**a na zenye quality nzuri sana kwa barabara za Tanzania
Zitakazo kuepusha na kubadili tairi mara kwa mara
Hivyo kuokoa gharama na c zingne
Tupigie ๐Ÿ“ž 0624 735 155
Whatsapp 0695 509 841
Tunapatikana ๐ŸŒ Mbezi Beach-Africana near Kunduchi mall
Kuweka oder na bei

๐Ÿ”ฅ Triangle 265/65R17 AT โ€“ Tairi ya Kazi Ngumu, Barabara Yoyote! ๐Ÿ›ž๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅUnaendesha barabara za lami, vumbi, matope au milima?...
02/10/2026

๐Ÿ”ฅ Triangle 265/65R17 AT โ€“ Tairi ya Kazi Ngumu, Barabara Yoyote! ๐Ÿ›ž๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅ
Unaendesha barabara za lami, vumbi, matope au milima? ๐Ÿค” Tairi za AT (All Terrain) ndizo jibu lako.
๐Ÿ›ฃ๏ธ Inafaa kwa matumizi haya:
๐Ÿ”น Safari za mikoani na barabara za vumbi
๐Ÿ”น Kazi za shambani, migodini na ujenzi
๐Ÿ”น Safari za mbuga za wanyama (safari/utalii)
๐Ÿ”น Barabara za mvua na matope
๐Ÿ”น Matumizi ya kila siku mjini na barabara kuu
Kwa nini Triangle AT?
๐Ÿ’ช Muundo imara dhidi ya mikwaruzo na miiba
๐Ÿ›ก๏ธ Mshiko mzuri kwenye mvua, vumbi na matope
๐Ÿš— Safari tulivu hata kwenye lami
โณ Zinadumu muda mrefu
๐Ÿ’ฐ Bei rafiki, ubora wa kuaminika
โ“ Gari lako ni aina gani?
โ“ Unaendesha zaidi barabara za lami au za vumbi/matope?
โ“ Tairi zako za sasa zina muda gani?
๐Ÿ‘‡ Tuandikie kwenye comment au WhatsApp, tutakushauri tairi sahihi kwa gari lako!
Tunapatikana ๐ŸŒMbezi Beach โ€“ Africana/Mwenge ITV-Dar
Mawasiliano ๐Ÿ“ž 0624 735 155/WhatsApp 0695 509 841

๐Ÿ“ฒ Tupigie / WhatsApp sasa upate ofa na ushauri wa bure!

Je, unajua tairi sahihi ni nusu ya usalama barabarani? ๐Ÿค”๐Ÿ›ž๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅTriangle Tyres kutoka Bijombo Tyres zinakupa ubora unaoutafut...
01/10/2026

Je, unajua tairi sahihi ni nusu ya usalama barabarani? ๐Ÿค”๐Ÿ›ž๐Ÿ›ž๐Ÿ”ฅ

Triangle Tyres kutoka Bijombo Tyres zinakupa ubora unaoutafuta kwa kila aina ya gari:
โœ… SUV โ€“ Mshiko imara na utulivu hata kwenye barabara mbaya
โœ… Pick up โ€“ Zinabeba mzigo mzito bila wasiwasi
โœ… Sedan & Saloon โ€“ Safari laini, tulivu na ya kiuchumi
๐Ÿ“ Tuna size mbalimbali, mfano:
๐Ÿ”น 245/45R18 โ€“ kwa SUV na magari ya mwendo
๐Ÿ”น 225/70R17 AT โ€“ All Terrain, kwa pick up na SUV za kazi ngumu
๐Ÿ”น Na size nyingine nyingi!
Kwa nini Triangle?
๐Ÿ’ช Zinadumu muda mrefu
๐Ÿ›ก๏ธ Zinashika vizuri barabarani, mvua au jua
โ›ฝ Zinasaidia kupunguza matumizi ya mafuta
๐Ÿ’ฐ Bei rafiki, ubora wa kuaminika
โ“ Gari lako linatumia tairi size gani?
โ“ Umewahi kubadilisha tairi lini mara ya mwisho?
๐Ÿ‘‡ Tuambie kwenye comment, tutakushauri tairi sahihi kwa gari lako!
Godown zetu zipo๐ŸŒMbezi Beach โ€“ Africana/Mwenge ITV-Dar es Salaam
Mawasiliano ๐Ÿ“ž 0624 735 155/WhatsApp 0695 509 841
๐Ÿ“ฒ Tupigie / WhatsApp sasa upate ofa na ushauri wa bure!

Address

Mbezi Beach
Kunduchi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bijombo tyres posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share