BME Fitness & Car wash Center

  • Home
  • BME Fitness & Car wash Center

BME Fitness & Car wash Center Fitness Empire

17/02/2026

Tunasema Karibu *BME Fitness Centre* iliyopo Geita mjini kwa wale wote wa kuweka utimamu wa mwili sawa kwa Ajili ya Kill challenge hakika hutojutia utapanda mlima kilimanjaro bila ghadhabu za mwili na wale wa Baiskeli itakua mseleleko maana tuna baiskeli zilizo bora kuandaa misuri ya miguu yako na mwili kiujumla. YES WE CAN LET US MOVE TOGETHER AND WIN TOGETHER

14/12/2025

Katika jambo hatujawahi poa ni aerobics guys k**a we ni mpenzi wa aerobics BME FITNESS CENTRE ndo sehem pekee unaweza enjoy nipende kuwaalika wote wanao taman kujua aerobics dances njooni tujifunze tuta anza class maalum ifikapo January inshallah ili kufikia December tuwe na class kubwa inayo furahisha hao mnao waona hawakuwa wanajua walikubali kujifunza na sasa wako vzuri sana BME FITNESS CENTRE TUNAJALI AFYA YAKO

08/12/2025

chuma hiyoo

07/12/2025

Karibu sana sana BME Fitness & Car wash Centre Geita Mjini kwa huduma bora ya GYM na Car wash utajenga utimamu wa mwili na Chombo chako cha moto kitapendeza.

12/11/2025

erobics inayo imarisha afya ya akili na mwili inayo kuondolea kabisa mawazo asi na kukupa mawazo yakinifu furaha ya kweli na burudani isiyo kifani utaipata BME FITNESS CENTREkituo bora kabisa cha mazoez mkoa Geita na kanda ya ziwa karib sana

22/10/2025

Turn Fat Into Fit

13/10/2025

Kaka mkubwa M***a Mwakitinya akisupport juhudi za wana Geita Katika kitengo cha kuimarisha utimamu wa mwili, Karibu sana kwenye Familia ya BME Fitness Centre Geita.

08/10/2025

erobic exercises strengthens Lungs and Heart

08/10/2025

Aerobic exercises strengthens Lungs and Heart

08/10/2025

Pata kilicho bora ndani ya BME Fitness Centre pekee

08/10/2025

Here we goo

09/10/2022

code:9-Lv20.22,Rsp;all./ov"u; #

Address

Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BME Fitness & Car wash Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Autos & Automotive Service?

Share