22/05/2026
Arusha ilikuwa moto ๐ฅ๐
Tulifurahia kushiriki kwenye Subaru Festival na kuonyesha bidhaa za Nishimoto kwa wapenzi wa magari hasa familia ya Subaru โค๏ธ๐ฏ๐ต
Asante kwa support, vibes nzuri, na mapenzi ya car culture ๐
Hii ni mwanzo tu ๐
JDM PerformanceCar