DAR GPS Tracking

Website

DAR GPS Tracking Tunatoa huduma za GPS Tracking kwa magari na pikipiki β€” live tracking 24/7, speed & geo-fence alerts, na ulinzi dhidi ya wizi.

Kwa bei Nafuu tu, linda mali zako popote ulipo.

13/10/2025

GPS Kwa bei ya Jumla na Rejareja.

Nafuu..
Uhakika..
Nchi nzima..
Mabingwa wa GPS

27/09/2025
Makosa Niliyofanya Niliponunua Gari Langu la Kwanza – Usiyafanye! πŸš—βŒNilipopata gari langu la kwanza, nilifurahi sana! πŸŽ‰ ...
04/09/2025

Makosa Niliyofanya Niliponunua Gari Langu la Kwanza – Usiyafanye! πŸš—βŒ
Nilipopata gari langu la kwanza, nilifurahi sana! πŸŽ‰ Lakini kuna makosa niliyofanya ambayo nisingependa uyafanye:
❌ Sikufikiria Usalama wa Gari Yangu – Nilidhani kuwa na bima tu inatosha, lakini sikuwa nimejua kuwa wizi wa magari ni jambo la kawaida sana! 😱
❌ Sikuwekeza kwenye GPS Tracker – Siku moja niliamka na kukuta gari langu halipo parking! 😭 K**a ningekuwa na GPS Tracker, ningejua eneo lake kwa sekunde chache!
❌ Nilihisi Kuwa GPS ni ya Magari ya Kifahari Tu – Kumbe hata magari ya kawaida yanaibiwa kila siku! GPS Tracker inahakikisha usalama wa gari lako 24/7!
βœ… SOMO NILILOJIFUNZA? Usisubiri kujuta k**a mimi! Wekeza kwenye GPS Tracker leo na linda usalama wa gari lako! πŸš˜πŸ”
πŸ“ Sisi tunakupa GPS Tracker za kisasa kwa bei nafuu na huduma ya kitaalamu!
πŸ“ž WhatsApp/Call: +255 714 592 047

31/08/2025

GPS tracking
Dar es salaam, tunakufikia popote na tuna Tiki

WANANGU WA BODABODA!!!GPS TRACKER – PUNGUZO LA HISTORIA! πŸ†πŸš¨ Nafasi ya kipekee! GPS Tracker yenye ubora wa hali ya juu kw...
26/08/2025

WANANGU WA BODABODA!!!
GPS TRACKER – PUNGUZO LA HISTORIA! πŸ†
🚨 Nafasi ya kipekee! GPS Tracker yenye ubora wa hali ya juu kwa bei ya kushangaza! πŸ€‘ OFA HII INAISHA NDANI YA SIKU 3 TU, KWA PIKIPIKI!
πŸ“ Unapata:
βœ… Ufuatiliaji wa Pikipiki live popote
βœ… Taarifa za safari zako kwa SMS au App
βœ… Ulinzi dhidi ya wizi na udanganyifu
βœ… Zima Pikipiki kwa mbali ikiwa limeibiwa!
🎯 MPAKA STOKI IKIISHA! 🎯
πŸ“© WhatsApp sasa +255 714 592 047
πŸ”₯ Usingoje hadi uchelewe – Chukua hatua leo! kwa Tsh. 90,000 πŸ”₯

21/08/2025

Usitumie mafuta hovyo
β›½ GPS inakuonyesha safari zisizo za lazima na wapi mafuta yanapotea. Matokeo yake β€” unakata gharama haraka.

Mfumo huu hukupa nafasi ya kufuatilia harakati zote kwa muda halisi (real-time tracking) kupitia simu yako. πŸ”₯πŸ“Œ Faida: βœ… ...
21/08/2025

Mfumo huu hukupa nafasi ya kufuatilia harakati zote kwa muda halisi (real-time tracking) kupitia simu yako. πŸ”₯
πŸ“Œ Faida:
βœ… Unapata taarifa kamili ya mahali ulipo chombo chako
βœ… Unaweza kuzuia wizi kwa kuzima injini kwa app
βœ… Unapata historia ya safari zote zilizopita
πŸ“² Je, ungependa kufunga GPS kwenye Pikipiki, Bajaji au Gari lako? Tuandikie hapa! πŸ‘‡

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAR GPS Tracking posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category