Pacha Spare Parts Tz

Pacha Spare Parts Tz Ni wauzaji na wasambazaji wa spea za Pikipiki aina zote yaani GN, Boxer, TVS, Houjoe na spea za bajaji RE & TVS KING .

Lakini pia ni wauzaji wa Vipuri vya mashine za kusaga na kukoboa nafaka na za kukamua mafuta.

07/08/2026

Karibu Pacha Spare Parts Kariakoo wauzaji wa Bearing za Mashine,Karasha,Powertila,Mitambo ya Viwanda vidogo na vikubwa.
Bearing zetu ni Imara, bora na zinadumu kwa muda mrefu Brand za NSK,FK na KBK

๐Ÿ›‘Pia tunauza Vipuli vya Pikipiki Aina zote mf GN,BM, Houjue, TVs hlx, nk

๐Ÿ›‘Tunauza Kwa Bei ya Jumla kwa Gharama Nafuu sana

๐Ÿ›‘Tunapatikana Dar es salaam, Kariakoo Mtaa wa Swahili na Kariakoo,Jengo la Pan Africa
๐Ÿ“ž/What's app +255 754 839 973
#"MTEJA NI PACHA WE

17/02/2026

Vifaa vyetu ni Original na ni Imara!

๐Ÿšจ UNASUBIRI NINI KUANZA SAFARI YA MAFANIKIO? ๐Ÿšจ
PACHA SPARE PARTS inakupa nafasi ya kipekee:

๐Ÿ’ฅ Kwa MTaji wa MILIONI 3 Tu

Unaweza kufungua duka lako la SPARE ZA PIKIPIKI na kuanza kutengeneza faida kila siku!

Sahau kusubiri ajiraโ€ฆ
๐Ÿ‘‰ Tunakupa mwongozo wa hatua kwa hatua hadi umefungua duka lako mwenyewe!
๐Ÿ‘‰ Tunakushauri vipuri vinavyotoka sana kulingana na mahitaji ya eneo lako.
๐Ÿ‘‰ Tunakuwa nawe muda wote โ€“ Mentorship na Coaching hadi ufanikiwe!

๐Ÿ”ฅ PACHA SPARE PARTS โ€“ MAFANIKIO YANAANZIA HAPA!

โœ… Huna uzoefu? Hakuna shida!
โœ… Hujui ununue nini? Tutakuambia!
โœ… Hujui pa kuanzia? Tutakuongoza!

๐Ÿ“ Tupo Kariakoo, Dar es Salaam โ€“ Mtaa wa Swahili na Kariakoo
๐Ÿ“ž Piga sasa: 0678 889 973 | 0754 839 973
๐Ÿ“ฉ AuTutumie meseji kwenye WhatsApp sasa โ€“ Tuanze safari ya mafanikio yako!

PACHA SPARE PARTS: BIASHARA INAANZIA HAPA

'"MTEJA NI PACHA WETU"

03/12/2025

Address

Swahili Na Kariakoo
Dar Es Salaam
11000

Opening Hours

Monday 07:30 - 18:30
Tuesday 07:30 - 18:30
Wednesday 07:30 - 18:30
Thursday 07:30 - 18:30
Friday 07:30 - 18:30
Saturday 07:30 - 18:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pacha Spare Parts Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share