Ratco Autoparts

Website

Ratco Autoparts Ratco Autoparts – Trusted Chinese bus parts in Magomeni Kagera. Quality you can rely on.

🚌🔧 CLUTCH FAN ZA MABASIUnahitaji Clutch feni  ya basi lako? Tutumie picha ya feni ya zamani ikionyesha mabawa na sehemu ...
13/11/2026

🚌🔧 CLUTCH FAN ZA MABASI

Unahitaji Clutch feni ya basi lako? Tutumie picha ya feni ya zamani ikionyesha mabawa na sehemu inapofungwa katikati. Taja pia modeli ya basi ili tuangalie inayofaa.

📍 Ratco Auto Spare Parts — Magomeni Kagera, Dar es Salaam
☎️: 0718 444 333 (Tupigie)
📩: 0659 605 475 (WhatsApp)

🚌⚙️ CLUTCH DISC ZA MABASIUnafanya matengenezo ya clutch? Tutumie namba ya clutch disc ya zamani. K**a namba haionekani, ...
11/11/2026

🚌⚙️ CLUTCH DISC ZA MABASI

Unafanya matengenezo ya clutch? Tutumie namba ya clutch disc ya zamani. K**a namba haionekani, tuma picha inayoonyesha sehemu ya katikati ya disc pamoja na modeli ya basi.

📍 Ratco Auto Spare Parts — Magomeni Kagera, Dar es Salaam
☎️: 0718 444 333 (Tupigie)
📩: 0659 605 475 (WhatsApp)

🚌⚙️ GEARBOX ZA MABASIUnatafuta gearbox ya basi lako? Tutumie picha ya gearbox ya zamani au namba iliyo kwenye plate yake...
04/11/2026

🚌⚙️ GEARBOX ZA MABASI

Unatafuta gearbox ya basi lako? Tutumie picha ya gearbox ya zamani au namba iliyo kwenye plate yake, pamoja na modeli ya basi. Tutakusaidia kuangalia inayolingana.

📍 Ratco Auto Spare Parts — Magomeni Kagera, Dar es Salaam
📩 Tuma DM kuuliza upatikanaji.

🚌🔥 DIFFERENTIAL ZA KINGLONG SASA ZIMEWASILI!Kwa wote mliokuwa mkisubiri, habari njema! Differential za Kinglong sasa zim...
20/10/2026

🚌🔥 DIFFERENTIAL ZA KINGLONG SASA ZIMEWASILI!

Kwa wote mliokuwa mkisubiri, habari njema! Differential za Kinglong sasa zimewasili Ratco Auto Spareparts. 🔧✅

✅ Zipo tayari kwa mauzo
✅ Kwa wamiliki wa mabasi na mafundi
✅ Tuma modeli ya basi au namba ya part tuhakiki inayokufaa
✅ Wasiliana nasi kupata bei na kuweka oda yako

📍 Magomeni Kagera – Dar es Salaam
📞 0659 605 475 / 0718 444 333

📲 Ulikuwa unasubiri? Wasiliana nasi sasa!

SparePartsTanzania

🔧🚌 DIFFERENTIAL YA YUTONG – NGUVU KWA SAFARI ZAKO!Differential husambaza nguvu kwenye magurudumu na kuyawezesha kuzunguk...
07/10/2026

🔧🚌 DIFFERENTIAL YA YUTONG – NGUVU KWA SAFARI ZAKO!

Differential husambaza nguvu kwenye magurudumu na kuyawezesha kuzunguka kwa kasi tofauti wakati wa kona. Pata differential ya Yutong kwa mahitaji ya basi lako kutoka Ratco Auto Spareparts!

✅ Husambaza nguvu kwenye magurudumu
✅ Husaidia basi kupita kwenye kona vizuri
✅ Sehemu muhimu ya mfumo wa uendeshaji
✅ Tuma modeli au namba ya part tuhakiki inayokufaa

📍 Magomeni Kagera – Dar es Salaam
📞 0659 605 475 / 0718 444 333

📲 Wasiliana nasi sasa kwa bei na oda!

🔥 CUMMINS 6LT ENGINE INAPATIKANA RATCO AUTO SPARE PARTS! 🔥Unatafuta Cummins 6LT yenye nguvu na performance ya uhakika? T...
25/08/2026

🔥 CUMMINS 6LT ENGINE INAPATIKANA RATCO AUTO SPARE PARTS! 🔥

Unatafuta Cummins 6LT yenye nguvu na performance ya uhakika? Tumekuletea engine inayofaa kwa buses, trucks na heavy-duty applications. 💪🏽🚛🚌

✅ High performance
✅ Durable & reliable
✅ Quality you can trust
✅ Bei nzuri

📍 Magomeni Kagera, Dar es Salaam
📞 0659 605 475
📞 0718 444 333

RATCO AUTO SPARE PARTS
Quality Parts. Powerful Performance.

HeavyDuty AutoSpares DarEsSalaam Tanzania

BEARING IN STOCK! 🔥⚙️Unataka bearing imara, inayozunguka smooth na kudumu kwenye kazi nzito? Ratco Auto Spare Parts tuna...
13/08/2026

BEARING IN STOCK! 🔥⚙️

Unataka bearing imara, inayozunguka smooth na kudumu kwenye kazi nzito? Ratco Auto Spare Parts tunazo bearing bora tayari kwa kazi. 💪🏽

✅ Quality ya uhakika
✅ Imara na ya kudumu
✅ Performance nzuri
✅ Inafaa kwa mabasi na magari ya kazi
✅ Bei rafiki

Usisubiri bearing ikupe shida njiani 😎 — stock ipo lakini haisubiri mtu!

📍 Magomeni, Kagera
📞 0659 605 475 / 0718 444 333

QualityParts Magomeni DarEsSalaam

12/08/2026

Turbo Original zipo stock! 🔥💨

Unataka engine ipate nguvu, response nzuri na performance ya uhakika? Ratco Auto Spare Parts tunakuletea turbo bora na imara, tayari kwa kazi na matumizi mazito. 🚌💪🏽

✅ Ubora wa hali ya juu
✅ Performance bora ya engine
✅ Imara na ya kudumu
✅ Inafaa kwa mabasi na magari ya kazi
✅ Bei rafiki

Spare imara, safari salama!

📍 Magomeni, Kagera
📞 0659 605 475 / 0718 444 333

SafariSalama Magomeni DarEsSalaam

IN STOCK – HOLSET TURBOCHARGERTuna turbocharger kali ya HOLSET, original kabisa – inayofaa kwa mabasi ya kichina k**a Yu...
14/04/2025

IN STOCK – HOLSET TURBOCHARGER
Tuna turbocharger kali ya HOLSET, original kabisa – inayofaa kwa mabasi ya kichina k**a Yutong, Zhongtong, King Long, Higer na Dragon.

Turbo hii itakupa:
✔️ Nguvu ya ziada kwa injini yako
✔️ Ufanisi mkubwa wa mafuta
✔️ Utulivu na kasi barabarani
✔️ Inapunguza moshi na kelele

Kwa wamiliki wa mabasi wanaotaka performance ya juu, hii ndio suluhisho la uhakika.

Tembelea ofisi zetu Magomeni Kagera – Dar es Salaam, karibu na Ratco Express.

Wasiliana nasi leo:
📞 +255 659 605 475
📞 +255 718 444 333

Address

Magomeni Kagera
Dar Es Salaam
14101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ratco Autoparts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share