26/05/2026
Big D enterprises Tunawatakia wateja wetu wote na Waislamu kwa ujumla Heri ya Sikukuu ya Eid al-Adha
Tunashukuru kwa kuendelea kutuamini kwa vipuri vya magari vya uhakika. Wakati wa sikukuu, usalama wa safari zako uanze na gari lenye ubora! ππ§
Eid Mubarak!