09/06/2019
Tukiwa kwenye harakat ya utaftaji sambamba na kauri ya Raisi wetu hapa kazi tU. Na hatuna budi kupambana kwaajili ya malengo yetu ya baadae kuhakikisha ndoto zetu zinatimia..
Mungu tubariki waja zako kisha tupatie nguvu ya kuiona kesho yetu yenye tija na maendereo kwenye jamii inayotuzunguka