Jenase Garage

Jenase Garage Automotive Engineering

16/09/2024

Huduma za ufundi wa Magari na ushauri wa bure kuhusu Gari lako usisite kuwasiliana nasi.kwa sasa tuko Manispaa ya Morogoro.tunakufuata na kutengeneza Gari lako nyumbani kwako.Jenase Garage!!ulipo tupo.karibu

12/09/2023
Mafundiiiii.leo Darasa limehamia huku.karibuni tufahamishane aina za bearing na kazi no.karibuni
27/08/2023

Mafundiiiii.leo Darasa limehamia huku.karibuni tufahamishane aina za bearing na kazi no.karibuni

24/08/2023

Kwa Mafundi na wauzaji wa spea za Magari.nahitaji Roter disc Brake ya Tata ultra 1012.tundu sita.kama unayo tafadhali wasiliana nami

Wewe ni fundi na umekutana na mteja ambaye Gari yake imechemsha kwa kiasi kikubwa.Gari yako ni Toyota Engine 1az  alumin...
23/08/2023

Wewe ni fundi na umekutana na mteja ambaye Gari yake imechemsha kwa kiasi kikubwa.Gari yako ni Toyota Engine 1az aluminium cylinder Brock. Utamshauri nini ili asipate hasara wakati wa matengenezo?

A.utaibadilisha Head gaskate.

B.utaipeleka Engineering na kuibadilisha Head gaskate,Rejetor repairs nk.

C.utamshauri anunue Engine au Sylinder Head Nyingine?.wenye Magari tuwasikilize Mafundi hapa

Je hii inaitwaje na kazi yake nini hasa kwenye Gari?tueleze kupitia ukurasa huu.Jenase Garage
22/08/2023

Je hii inaitwaje na kazi yake nini hasa kwenye Gari?tueleze kupitia ukurasa huu.Jenase Garage

18/08/2023

Swali la leo.unatumia Gari aina ya Toyota Hilux kwa safari ya Dar-Mwanza Km1220,kiwango cha ulaji wa Mafuta ni 8km kwa Lita.je utahitaji lita ngapi ili ufike Mwanza?

Address

Jeremia. John2013@gmail. Com
Dar Es Salaam
075518

Opening Hours

09:00 - 17:00

Telephone

+255718145020

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jenase Garage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share