14/11/2017
Fundi yupo site anaendelea na matengenezo ya gari lililopaja ajali kwa lengo la kuirudisha katika hali yake ya awali wadau shughuri ndo kwanza inaanza fuatilia hapa hapa kujua mengi zaidi yanahusiana na magari.
Best Regards
Idrisa H. Nyamnunga
HR, Kinahi Auto Works.
WhassApp 0767/0657-515197