21/09/2016
Toyota RAV4, 1996 Model.
Karibu Sana J1 Car Leather Seats tunatengeneza seats za Gari aina zote kwa kutumia material nzuri zenye Warrant. Pia huduma zetu ni za Kimataifa na zenye Kiwango cha Kimataifa.
Material, design na Rangi ni chaguo la Mteja anavyopendelea.
Karibu Sana, kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba +255 756 249 186
Follow Instagram: j1carleatherseats