Nshanges Tyre Suppliers

Nshanges Tyre Suppliers Karibu Nshanges - Mahali pa kuaminika kwa matairi bora ya gari za abiria na mizigo.

Tairi saizi 155R12LT maalum kwa ajili ya gari ndogo za mizigo k**a  ,   na gari ndogo za mizigo zinapatikana. Wasiliana ...
19/09/2024

Tairi saizi 155R12LT maalum kwa ajili ya gari ndogo za mizigo k**a , na gari ndogo za mizigo zinapatikana. Wasiliana nasi leo!

Jua Maana ya Alama za Kasi kwenye Matairi Yako!Unajua alama za kasi kwenye matairi zina maana gani? Hizi ni viwango vya ...
11/07/2024

Jua Maana ya Alama za Kasi kwenye Matairi Yako!

Unajua alama za kasi kwenye matairi zina maana gani? Hizi ni viwango vya kasi ambavyo tairi inaweza kuvumilia kwa usalama. Kujua alama hizi ni muhimu sana ili kuepuka kupasuka kwa matairi barabarani. Hapa kuna mwongozo wa alama za kasi:

- **Q**: 160 km/h (99 mph)
- **R**: 170 km/h (106 mph)
- **S**: 180 km/h (112 mph)
- **T**: 190 km/h (118 mph)
- **U**: 200 km/h (124 mph)
- **H**: 210 km/h (130 mph)
- **V**: 240 km/h (149 mph)
- **W**: 270 km/h (168 mph)
- **Y**: 300 km/h (186 mph)
- **Z**: Zaidi ya 240 km/h (149 mph)

Alama hizi zinapatikana kwenye ukuta wa tairi, baada ya namba ya mzigo. Kwa mfano, tairi lililoandikwa "205/55R16 91V" lina kiwango cha kasi V, maana yake linaweza kuvumilia kasi hadi 240 km/h.

⚠️ **Ni muhimu sana kuelewa alama hizi na kutumia matairi sahihi kwa gari lako ili kuepuka ajali za kupasuka kwa matairi barabarani.** ⚠️

Mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kutumia tairi zako kwa muda mrefu zaidi.
07/06/2024

Mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kutumia tairi zako kwa muda mrefu zaidi.

Tairi imara kwa safari salama!
06/06/2024

Tairi imara kwa safari salama!

Tunajivunia kuwa na chapa imara za matairi, moja wapo ni FRIDERIC🛞 ambayo mpaka sasa bidhaa hii imetukutanisha na kampun...
28/05/2024

Tunajivunia kuwa na chapa imara za matairi, moja wapo ni FRIDERIC🛞 ambayo mpaka sasa bidhaa hii imetukutanisha na kampuni kubwa za usafirishaji hapa nchini. Tairi hizi hutumika kwenye gari kubwa na zinahimili mizigo mizito sana. Uwe na gari ndogo, tipper au basi la abiria. Tutajie saizi nasi tutakupa tairi yenye suluhisho la uhakika kwa safari yako.
#38565225

Tunakuuzia tairi kwa bei nafuu, size uitakayo!
27/05/2024

Tunakuuzia tairi kwa bei nafuu, size uitakayo!

Bei nafuu, matairi bora!!
24/05/2024

Bei nafuu, matairi bora!!

Tunauza tairi kwa ajili ya gari lako! Tupe saizi, tukupe tairi. Karibu sana!
23/05/2024

Tunauza tairi kwa ajili ya gari lako! Tupe saizi, tukupe tairi. Karibu sana!

Usikubali gari lako likae yadi muda mrefu, tupigie leo ununue tairi zenye ubora kwa ajili ya gari yako. +255735445161
21/05/2024

Usikubali gari lako likae yadi muda mrefu, tupigie leo ununue tairi zenye ubora kwa ajili ya gari yako. +255735445161

Karibu! Scroll picha ujionee tairi tofauti uwe na gari ndogo k**a Toyota Corolla, ya kati au kubwa k**a SCANIA na HOWO. ...
19/01/2024

Karibu! Scroll picha ujionee tairi tofauti uwe na gari ndogo k**a Toyota Corolla, ya kati au kubwa k**a SCANIA na HOWO. Kwetu Nshanges Tyre Suppliers tuna tairi za kukuepusha na kero za barabarani iwe tope, kokoto ama utelezi mkali! +255745445161 au +255693555688 Wasiliana na timu yetu ya mauzo upate ushauri kabla ya kununua tairi za gari yako! Kwetu Nshanges tunasema kila kashata ina maana yake!!

Karibu tairi nzuri za    #195/65R1591V kwa ajili ya gari ndogo zinapatikana uwe na Toyota Corolla au Camry Karibu sana!
18/01/2024

Karibu tairi nzuri za #195/65R1591V kwa ajili ya gari ndogo zinapatikana uwe na Toyota Corolla au Camry Karibu sana!

Tunawatakia Sikukuu njema!
25/12/2023

Tunawatakia Sikukuu njema!

Address

Nyerere Road, Chang'ombe, Serengeti Street, Plot No. 24A, Temeke, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
S.L.P881

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nshanges Tyre Suppliers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nshanges Tyre Suppliers:

Share