26/06/2023
Portable Car Pressure Washer
Kifaa bomba kabisa kwa kuoshea gari , kumwagilia bustani au kusafishia paa/kuta za nyumba
✨Ina battery ya 48VF
✨Water pipe yake ni 5m
✨Inamwagilia kwa style tatu tofauti ( Fan Spray , high pressure na Foam spray )
Bei ni 190,000/= tu
Tupigie kwa namba za simu 0745-519-197 au tutumie text DM
Tunafanya Delivery