LupandaHD

LupandaHD Honey Bess

Metro Cosmetics inakuletea suluhisho bora ya ngozi yako, Kaa tayari kupata mafuta bora ya ngozi yako.
20/06/2025

Metro Cosmetics inakuletea suluhisho bora ya ngozi yako,

Kaa tayari kupata mafuta bora ya ngozi yako.

Today I just want to thank God for the gift of life.No complaints.No requests.Just thankful to be alive.
04/06/2025

Today I just want to thank God for the gift of life.
No complaints.
No requests.
Just thankful to be alive.

Till Next Time
20/04/2025

Till Next Time

If it doesn’t happen the way you wanted, it will happen the way better than you imagined. And that’s the beauty of Gods’...
18/04/2025

If it doesn’t happen the way you wanted, it will happen the way better than you imagined. And that’s the beauty of Gods’ plan.

📍 UYOWA
06/02/2025

📍 UYOWA

MIAKA 48 YA CCM: Karibu kwenye Sherehe zaMaadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyi...
04/02/2025

MIAKA 48 YA CCM: Karibu kwenye Sherehe za
Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika uwanja wa
Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025; Leo tunapasha misuli tu na marathons 💪
Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan


Ulyankulu Nimewawikilisha👍

After certainSITUATIONS..You just don’t feel the same about PEOPLEanymore!! No matter who they are
30/01/2025

After certain
SITUATIONS..You just don’t feel the same about PEOPLE
anymore!! No matter who they are

Tarehe 04/01 ilikuwa siku  maalum ambayo naitafakari  kwa upendo na shukrani. Kwanza kabisa, namshukuru Mungu kwa zawadi...
06/01/2025

Tarehe 04/01 ilikuwa siku maalum ambayo naitafakari kwa upendo na shukrani. Kwanza kabisa, namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya, na neema zake zisizo na kikomo. Bila yeye, hakuna kitu kingekuwa kinatimia maishani mwangu.

Kwa mke wangu mpenzi, Florence asante kwa upendo wako, uvumilivu, na msaada usio na kikomo.
Wewe ni baraka kubwa katika maisha yangu, na sioni thamani ya siku yangu bila uwepo wako.

Kwa familia yangu, asanteni kwa kunilea, kuniongoza, na kunipenda bila masharti.
Nyinyi ni nguzo ya furaha yangu, na najivunia kuwa sehemu ya familia yetu. piwa wakwe zangu asanteni kwa kunilelea Mtoto wenu kwa maadili bora mpaka alipokutana na mimi

Kwa marafiki zangu, asanteni kwa kuwa sehemu ya maisha yangu, kwa kunitia moyo, na kushiriki furaha pamoja nami. Rafiki wa kweli ni zawadi, na ninyi ni zawadi ya thamani isiyopimika.

Siku hii ya kuzaliwa ilikuwa zaidi ya maadhimisho -
ni fursa ya kushukuru na kutambua upendo mwingi unaonizunguka. Mungu awabariki
nyote kwa ukarimu wenu na upendo wenu.
Ahsanteni sana!

If it doesn’t happen the way you wanted, it will happen the way better than you imagined. And that’s the beauty of God’s plan. Happy new age , happy new year to all

I am a Code Breaker of my Own empire 💪
22/12/2024

I am a Code Breaker of my Own empire 💪

08/12/2024
Choose What Makes Your Heart Bloom
07/11/2024

Choose What Makes Your Heart Bloom

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LupandaHD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to LupandaHD:

Share