Car Diagnostic Solutions

Car Diagnostic Solutions Educational

22/06/2024
13/10/2023

Kuna muda vitu vinavyoonekana kuwa bei rahisi huwa ni gharama.

Nafunga GPS trackers kwa bei nafuu. 0688758625Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya magari, bajaj, pikipiki, TV, Co...
06/06/2023

Nafunga GPS trackers kwa bei nafuu.

0688758625

Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya magari, bajaj, pikipiki, TV, Computer, n.k..

Zina sifa zifuatazo.

1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.

2. Inakaa na charge zaidi ya masaa 12 in case k**a ikikatwa wire.

3. Ina shock Alarm.

4. Ina Live location na live tracking.

5. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.

6. Unaweza kuona mizinguko ya chombo chako ya kila siku na Inahifandhi taarifa zote za mizunguko hiyo kwa miezi 6 iliyopita.

7. Inaonesha chombo chako cha moto kikiwashwa au kuzimwa.

8. Inaonesha Mileage na Parking reports.

9. Inatumia line ya simu.

10. Ni nzuri sana k**a unamanage vyombo vingi vya moto. Vyote utaviona kwenye ramani moja kwenye simu yako.

11. Haina malipo ya kila mwezi au kila mwaka.

Unaweza kuitumia k**a kill switch, yaani unazima chombo chako kwa kutumia simu kila ukienda kulala, mwizi akija kuwasha hakitawaka, mpaka utakaporuhusu kwenye simu yako asubuhi.

Kwa kifupi ni ulinzi tosha dhidi ya chombo chako. Au k**a una pikipiki, bajaj, gari ,au chombo chochote cha biashara hii inakufaa sana kwa sababu unaweza kumanage vyombo vingi kwa wakati mmoja na kwa urahisi.

Bei ya jumla pamoja na kufunga ni Tsh. 150,000/= kwa chombo chochote unachotaka kufunga.

Pia k**a Unahitaji GPS trackers nyingi kwa bei ya jumla naweza kukuagizia kwa bei nafuu.

Nipigie/Whatsapp 0621 221 606.

Au fika Ofisini kwetu Sinza Kijiweni, Dar es salaam.

GPS TRACKING SYSTEM. Nafunga GPS trackers kwenye vyombo mbalimbali.Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya...
31/05/2023

GPS TRACKING SYSTEM. Nafunga GPS trackers kwenye vyombo mbalimbali.

Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..

Zina sifa zifuatazo.

1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.

2. Inakaa na charge zaidi ya masaa 12 in case k**a ikikatwa wire.

3. Ina shock Alarm.

4. Ina Live location na live tracking.

5. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.

6. Unaweza kuona mizinguko ya chombo chako ya kila siku na Inahifandhi taarifa zote za mizunguko hiyo kwa miezi 6 iliyopita.

7. Inaonesha chombo chako cha moto kikiwashwa au kuzimwa.

8. Ina overspeed alarm, dereva akizidisha speed.

9. Inaonesha Mileage na Parking reports.

10. Inatumia line ya simu.

11. Ni nzuri sana k**a unamanage vyombo vingi vya moto. Vyote utaviona kwenye ramani moja kwenye simu yako.

12. Haina malipo ya kila mwezi au kila mwaka.

Unaweza kuitumia k**a kill switch, yaani unazima chombo chako kwa kutumia simu kila ukienda kulala, mwizi akija kuwasha hakitawaka, mpaka utakaporuhusu kwenye simu yako asubuhi.

Kwa kifupi ni ulinzi tosha dhidi ya chombo chako. Au k**a una pikipiki, bajaj, gari ,au chombo chochote cha biashara hii inakufaa sana kwa sababu unaweza kumanage vyombo vingi kwa wakati mmoja na kwa urahisi.

Bei ya jumla pamoja na kufunga ni Tsh. 150,000/= kwa chombo chochote unachotaka kufunga.

Pia k**a Unahitaji GPS trackers nyingi kwa bei ya jumla naweza kukuagizia kwa bei nafuu.

Nipigie/Whatsapp 0688 758 625 au 0621 221 606.

Au fika Ofisini kwetu Sinza Kijiweni, Dar es salaam.

GPS TRACKING SYSTEMNafunga GPS trackers.Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k.. ...
03/03/2023

GPS TRACKING SYSTEM

Nafunga GPS trackers.

Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..

Zina sifa zifuatazo.

1. Ina Live location na live tracking.

2. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.

3. Inahifandhi taarifa zote za mizunguko ya chombo kwa miezi 6 iliyopita.

4. Inaonesha chombo chako cha moto kikiwashwa au kuzimwa.

5. Ina overspeed alarm, dereva akizidisha speed.

6. Ina shock alarm, k**a dereva anaendesha rafu.

7. Inaonesha Mileage, Travel na Parking reports.

8. Inatumia line ya simu. (Kila kitu ni juu yangu).

9. Ni nzuri sana k**a unamanage vyombo vingi vya moto. Vyote utaviona kwenye ramani moja kwenye simu yako.

10. Haina malipo ya kila mwezi au kila mwaka.

Kwa kifupi ni ulinzi tosha dhidi ya chombo chako. Au k**a una pikipiki, bajaj, gari ,au chombo chochote cha biashara hii inakufaa sana kwa sababu unaweza kumanage vyombo vingi kwa wakati mmoja na kwa urahisi.

Bei ya jumla pamoja na kufunga ni Tsh. 120,000/=.

Nipigie/Whatsapp 0688 758 625 au 0621 221 606.

Nipo Dar.

GPS TRACKING SYSTEMNauza na kufunga GPS trackers. Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Comput...
21/01/2023

GPS TRACKING SYSTEM

Nauza na kufunga GPS trackers.

Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..

Zina sifa zifuatazo.

1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako. [Kwa magari unaweza pia kuzuia gari isiondoke, yaani itawaka ila haitaondoka].

2. Ina Live location na live tracking.

3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.

4. Inahifandhi taarifa zote za mizunguko ya chombo kwa miezi 6 iliyopita.

5. Inaonesha chombo chako cha moto kikiwashwa au kuzimwa.

6. Ina overspeed alarm, dereva akizidisha speed.

7. Ina shock alarm, k**a dereva anaendesha rafu.

8. Inaonesha Mileage, Travel na Parking reports.

9. Inatumia line ya simu.

10. Ni nzuri sana k**a unamanage vyombo vingi vya moto. Vyote utaviona kwenye ramani moja kwenye simu yako.

11. Haina malipo ya kila mwezi au kila mwaka.

Unaweza kuitumia k**a kill switch, yaani unazima chombo chako kwa kutumia simu kila ukienda kulala, mwizi akija kuwasha hakitawaka, mpaka utakaporuhusu kwenye simu yako asubuhi.

Kwa kifupi ni ulinzi tosha dhidi ya chombo chako. Au k**a una pikipiki, bajaj, gari ,au chombo chochote cha biashara hii inakufaa sana kwa sababu unaweza kumanage vyombo vingi kwa wakati mmoja na kwa urahisi.

Bei ya jumla pamoja na kufunga ni Tsh. 150,000/=

Nipigie/Whatsapp 0688 758 625 au 0621 221 606.

Nipo Dar.

Kwanini Taa ya Check engine huwaka?Kwenye gari zipo sababu nyingi zinaweza kuwasha taa ya Check engine, mfano;1.Kufa kwa...
03/01/2023

Kwanini Taa ya Check engine huwaka?

Kwenye gari zipo sababu nyingi zinaweza kuwasha taa ya Check engine, mfano;

1.Kufa kwa sensors na components zingine za umeme/electronics

2. Kukatika kwa wires.

3. Kuvuja kwa hewa (Vacuum leak).

4. Kubadilika kwa taarifa za vifaa ambavyo vipo calibrated.

5. Baadhi ya vitu kufanya kazi chini ya kiwango.

6. Poor electrical contact kwenye connectors ambayo mara nyingi husababishwa na uchafu, kutu n.k.

7. Na mengine mengi sana.

Hivyo hata suala la urekebishaji wa matatizo ya check engine, hutofautiana kulingana na aina ya tatizo na zipo namna nyingi za kurekebisha k**a kubadili kifaa, kuunga wires, kusafisha, calibration, n.k.

Gari inaweza kuwasha taa hiyo na mtu akaona au asione mabadiliko yoyote kwenye gari, mfano taa hiyo inaweza ikawaka na ikaja na mabadiliko yafuatayo.

1. Engine kukosa nguvu

2. Engine kumisi(misfire)

3. Kelele kwenye engine

4. Kujizima

5. Kutetemeka

6. Kutoa moshi mwingi

7. Kusumbua kuwaka

8. Kutumia mafuta mengi

9. Rough Idle (Gari haitulii sailensa)

10. Kushtuka wakati unaendesha.

Zipo nyingi sana.

Kwa kifupi kitu chochote kikiharibika kwenye engine hii taa inaweza kuwaka hivyo inakuwa ni ngumu kukisia hiyo taa imewaka kwanini, ni mpaka pale tutakapofanya diagnosis.

Pia Unaweza kupata matatizo niliyokueleza hapo juu lakini gari isiwashe taa yoyote kwenye dashboard. Hivyo siyo kila tatizo litawasha taa ya Check engine. Lakini ukifanya diagnosis inaweza kuonekana muda mwingine.

Check engine huwaka endapo kuna tatizo kwenye engine. Gari nyingi za Toyota na gari zote zinazotumia ECU moja kwa engine na gearbox, check engine huwaka kwa sababu ya tatizo kwenye engine au gearbox.

Karibu kwetu kwa huduma hizi...

1. Kufanya diagnosis na marekebisho ya matatizo yote yanayowasha taa za tahadhari kwenye dashboard mfano check engine, n.k.

Engine Diagnosis ni Tsh. 30,000/=
Full Systems ni Tsh. 50,000/=.

2. Kufunga GPS trackers na vifaa vya kuzuia wizi wa vyombo vya moto k**a Kill switch na Immobilizer kwa bei nafuu.

Gari ndogo aina yoyote na kampuni yoyote.

Tupo Dar es salaam, Magomeni, Mwembechai.

Simu/Whatsapp: 0621 221 606 au 0688 758 625.

Kifaa cha kuzuia wizi/kuporwa pikipiki, magari na bajaj. Hii ni set ya switch pamoja na remote yake ambayo inafungwa kwe...
29/11/2022

Kifaa cha kuzuia wizi/kuporwa pikipiki, magari na bajaj.

Hii ni set ya switch pamoja na remote yake ambayo inafungwa kwenye chombo cha moto na wewe utakuwa na remote unatembea nayo kila utakapotaka kukitumia chombo chako.

Simu/Whatsapp 0688 758 625.

1. Remote ikiwa karibu utakuwa na uwezo wa kuwasha chombo na isipokuwa karibu hutaweza kuwasha chombo. (Umbali ni 2m mpaka 8m).

2. Ukiporwa chombo, Kitazimika baada ya muda mfupi tu (Dakika 1).

3. Switch ina button ya dharura ambayo utaitumia iwapo umesahau au kupoteza remote.

4. Mfumo una remote mbili (moja ni akiba)

5. K**a battery za remote zinakaribia kuisha, mfumo utakukumbusha kila utakapokuwa unawasha chombo chako.

Bei ni 75,000 tu (kufungiwa ni bure).

Ipo pia mifumo mingine ya ulinzi k**a

1. Kill switch Tsh. 40,000/=

2. GPS trackers kuanzia Tsh. 75,000/= mpaka Tsh. 150,000/=.

Nipo Dar, Magomeni, Mwembechai.

Immobilizer za pikipiki, Bajaj na Magari zinauzwa. Huu ni mfumo wa ulinzi kwenye chombo chako cha moto. Unamzuia mtu kuw...
08/10/2022

Immobilizer za pikipiki, Bajaj na Magari zinauzwa.

Huu ni mfumo wa ulinzi kwenye chombo chako cha moto. Unamzuia mtu kuweza kuiba au kupora chombo chako (Anti-theft na Anti-hijack).

1. Mfumo unakuwa na remote ndogo sana ambayo inapokuwa karibu chombo kinaweza kuwaka na ikiwa mbali chombo hakitawaka. Hapa mwizi hawezi kuwasha chombo na kuondoka nacho.

2. Ukuporwa chombo chako, mfumo utahesabu sekunde 70 tu na baada ya hapo chombo kitazima chenyewe na hakitawaka mpaka utakapokuja na remote yako. Sekunde 70 mtu hawezi kuwa amefika mbali.

3. Battery ikikaribia kuisha, mfumo utakuwa unapiga beep sound mara tatu kila utakapokuwa unawasha chombo.

4. Mfumo una emergency button iwapo umesahau remote. Hiyo emergency button inabonyezwa kwa pattern.

Ninazo piece chache sana.

Bei ya kuuza ni Tsh. 75,000/= tu.

Nipigie 0621 221 606 au 0688 758 625.

Nipo Dar.

SOLUTION DHIDI YA WEZI WA MAGARI.GPS tracking device ni kifaa ambacho kinafungwa kwenye gari ili kuweza kufuatilia mwene...
15/12/2021

SOLUTION DHIDI YA WEZI WA MAGARI.

GPS tracking device ni kifaa ambacho kinafungwa kwenye gari ili kuweza kufuatilia mwenendo mzima wa gari lako pindi linapokuwa halipo mikononi mwako, linaweza kuwa limeibiwa na umemuazima mtu, k**a gari lina kifaa hiki, basi unaweza kulifuatilia kwa kutumia google maps na kujua lipo wapi na kuweza kulipata.

Ninazo GPS tracking device za aina mbili naziuza. Na ni za kipekee sana.

AINA YA KWANZA. (Bei Tsh. 75,000/=).

1. Ni chip ndogo sana size ya line ya simu. Hivyo ni rahisi kuificha ndani ya components zilizo nyingi kwenye gari.

2. Inakupa location kwa kukupa google map link.

3. Unaweza kuipigia simu na kusikiliza maongezi mahali gari lako lilipo.

4. Ina built in battery hivyo haitegemei umeme wa gari muda wote.

AINA YA PILI. (Bei Tsh. 150,000=).

1. Ina muonekano k**a baadhi ya components zilizopo kwenye gari lako. Hivyo hakuna haja ya kuificha.

2. Ina accuracy ya hali ya juu sababu inacombine positioning tech za aina tatu, GPS, GLONASS na LBS.

3. Unaweza kuilink na mfumo wa mafuta na hivyo unakuwezesha kulizima gari lako kwa kutumia simu kabla hata mwizi wako hajafika mbali.

4. Ina built in battery hivyo haitegemei umeme wa gari.

5. Unaweza kuset geofence. Yaani gari yako itumike tu ndani ya eneo fulani. Likitoka nje ya hapo unapata taarifa.

6. Inaweza kukuonesha historia ya route zote ambazo gari yako imepita kwa siku 180 (miezi 6) zilizopita.

Hizo bei ni one time hivyo hakuna malipo ya kila mwezi, zaidi utahitaji laini ya simu ili uweze kutumia vifaa hivyo.

Pia k**a unahitaji huduma ya diagnosis na repair ya matatizo ya gari lako karibu.

Pia tunauza temperature control kwa ajili ya kuzuia overheating kwenye gari lako.

NIPO DAR

+255 621 221 606 kwa maelezo zaidi.

09/08/2021

Karibu Car Diagnostic Solutions.

Tafadhali usiache kufollow ukurasa huu ili uweze kujifunza mengi kuhusiana na gari lako, ushauri na pia kuweza kujua huduma zetu mpya.

K**a una swali lolote karibu, unaweza kuuliza kwenye comment.

Tupigie au tutumie ujumbe whatsapp kwa namba +255 621 221 606

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 14:30
Wednesday 13:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 13:00
Sunday 07:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Car Diagnostic Solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share